Friday, February 15, 2019

SOKO LA SAMAKI LA KIBIRIZI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI

Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji,  sokoni hapo, Februari 15, 2019.
Muuzaji wa mafuta ya mawese yanayotokana na michikichi, Mwajuma Khamis   akitamka bei za mafuta hayo aliyokuwa akiyauza  kati ya Shillings 1,000 hadi 10,000 katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 15, 2019.
Wachuuzi wa dagaa katika soko la samaki la Kibirizi kwenye  Manispaa ya Kigoma Ujiji, Odes Aloys  (kulia) na Rashidi Haji (kushoto) wakianika dagaa sokoni hapo Februari 15, 2019.

Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Amina Sadiki (kushoto) na Halima Ramadhani (kulia) wakipaa samaki sokoni hapo, Februari 15, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.