Saturday, February 9, 2019

KUAHIRISHWA BUNGE LEO TAREHE 09.02.2019

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa, Palamagamba Kabudi (kushoto) na Waziri wa Madini, Dotto Biteko (kulia), bungeni jijini Dodoma, Februari 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki, bungeni jijini Dodoma, Februari 9.2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari  9.2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari  9.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.