Tuesday, February 12, 2019

KUTOKA ADDIS ABABA,ETHIOPIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue nje ya ukumbi wa Nelson Mandela,kwenye mkutano wa Viongozi Wakuu wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa EthiopiaFebruari 12, 2019, (katikati) kushoto ni Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, (katikati) kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Naimi Aziz.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.