Thursday, February 21, 2019

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA MKOA WA KAGERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM Taifa akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Februari 21, 2019.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Februari, 21, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM Taifa akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Februari 21, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.