Saturday, February 16, 2019

MAJALIWA AWASILI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya  kikazi mkoani humo, Februari 16, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Februari 16, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.