Sunday, February 17, 2019

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA ZAO LA MICHIKICHI CHA KIHINGA MKOANI KIGOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama mbegu ya mchikichi inayoonyesha tabaka la  mafuta wakati alipotembelea Kituo cha Utafiti wa Michikichi cha Kihinga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Kilimo Mwandamizi na Mratibu wa Utafiti wa Kilimo mkoani Tabora na Kigoma, Dkt. Filson Kagimbo (kulia) wakati alipotembelea Kituo cha Utafiti wa Michikichi cha  Kihinga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019. Wapili kushoto ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mikungu ya mchikichi iliyochavushwa kitalaam ili kupata mbegu bora wakati alipotembelea Kituo cha Utafiti wa Michikichi cha Kihinga mkoani Kigoma, Februari 17, 2019.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.