Monday, February 11, 2019

MATUKIO YA MKUTANO WA (AU) ADDIS ABABA-ETHIOPIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma kitabu, kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Richard Sezibera, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.