Saturday, December 17, 2016

MAJALIWA AWASILI WILAYA YA LONGIDO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Londoluo  waliomsimamisha akiwa njiani kutoka Loliondo kwenda Longido  mkoani Arusha Desemba 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Longido baada ya kuwasili  kwenye Ofisi za Halmashauri hiyo Desemba 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Longido baada ya kuwasili  kwenye Ofisi za Halmashauri hiyo Desemba 16, 2016.
Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Longido  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliopo kwenye Ofisi za halmashuri hiyo Desemba 16, 2016.
 Mkuu wa Wilaya ya  Longido , Daniel Chongolo,  akisoma taarifa ya maendeleo ya wilaya hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa halmashuri hiyo wa Julius Kambarage Nyerere Desemba 16, 2016.

Waziri  wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe  akiwasalimia  watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Longido kabla ya kumwalika Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kuzungumza nao kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo wa Julius Kambarage Nyerere Desemba 16, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Longido  kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  uliopo kwenye Ofisi za halmashauri hiyo Desemba 16, 2016.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.