Thursday, December 15, 2016

MAJALIWA AWASILI LOLIONDO KUENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wakati alipowasili kwenye  uwanja wa ndege wa Kiltaro katika tararafa ya Loliondo kuendelea na ziara yake wilayani Ngorongoro Desemba, 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake wa Kimasai wakati alipotembelea Kituo mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni kilichojengwa na UNICEF katika kijiji cha Ololosokwan kilichopo Loliondo wilayani  Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi mbalimbali za mikono hasa mapambo yanayotengenezwa na wanawake wa kimasai katika kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipotembelea Kituo cha Mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni  kijijini  hapo Desemba 15, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa ndani ya nyumba ya asili ya wamasai maarufu kwa jina la Emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan  kwenye tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya nyumba ya asili ya wamasai maarufu kwa jina la emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan kwenye tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya nyumba ya asili ya wamasai maarufu kwa jina la emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan kwenye tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Wananchi wa kijiji cha Ololosokwan  kwenye tarafa ya  Loliondo wilayani Ngorongoro  wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipowasalimia akiwa ktika ziara ya wilaya ya Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanchi wa kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 15, 2016.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.