Friday, December 16, 2016

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA NAMANGA NA KUKABIDHI PIKIPIKI KWA VIJANA WA BODABODA

Wanawake wa kimasai wakiimba wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa mkutano kuhutubia wananchi katika kijiji cha Namanga kilichopo kwenye  mpaka wa Kenya na Tanzania wilayani Longido, Desemba 16, 2016.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya mkoani Arusha Desemba 16, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Desemba 16, 2016 alikabidhi pikipiki 10 kwa vijana wa bodaboda wa Namanga na  Longido  mkoani Arusha . Pichani, Waziri Mkuu akikabidhi pikipiki hizo baada ya kuhutubia mkuano wa hadhara katika kijiji hicho.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee wa kimasai baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania wilayani Longido Desemba 16, 2016.  Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwapungia wananchi wa kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka  wa Kenya na Tanzania kilichopo kwenye  wilayani Longido  wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 16, 2016.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.