Monday, December 19, 2016

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA USA RIVER

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya kikundi cha sana cha Chuo Kikuu cha Makumira cha Arusha baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa Ngaraseru - Usa River wilayani Arumeru kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru  kuhutubia mkutano wa hadhara.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru Desemba 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru Desemba 27, 2016.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.