Saturday, December 17, 2016

MAJALIWA AANZA ZIARA WILAYANI ARUMERU NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akipokea taarifa ya maendeleo ya wilaya ya Arumeru baada ya kusomewa  taarifa hiyo na Mkuu  wa wilaya hiyo,   Alexander  Mnyeti kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha  Desemba 17, 2016.
 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya wilaya ya Arumeru kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha  Desemba 17, 2016.
Baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Arumeru wakimsikiliza waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha, Desemba 16, 2016.
Baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Arumeru wakimsikiliza waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha, Desemba 16, 2016.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.