Thursday, December 22, 2016

ZIARA YA KAMATI YA WATAALAM YA KUPITIA MPANGO KABAMBE WA MJI MKUU WA DODOMA NCHINI CHINA - BEIJING.


Kamati ya wataalam ya kupitia mpango wa Mji wa Dodoma ikiongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa Mheshimiwa Uledi Musa wakipatiwa maelezo juu ya uhamishaji wa Manispaa ya Mji wa Beijing  kwenda mji mpya wa Tongzhou walipofanya ziara ya mafuzo ya jnsi ya kuhamisha Makao Makuu ya Mji Mkuu

Makamu wa Rais, Bi Guo Zig Kamuni ya Startimes Limited akitoa maelezo kwa Kamati ya wataalam ya kupitia mpango wa Mji wa Dodoma ikiongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa Mheshimiwa Uledi Musa kuhusu uandaaji, utengenezaji na urushaji wa vipindi vya dijitali vya television ndani na nje ya China

Kamati ya wataalam ya kupitia mpango wa Mji wa Dodoma ikiongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa Mheshimiwa Uledi Musa wakielezwa mpango wa uendelezaji wa Mji wa Beijing ulioandaliwa kwa usanifu mkubwa wenye lengo la kubadilisha mji kuwa wakuvutia , kijani , ulinzi , usalama na mji mzuri wa kuishi

Kamati ya wataalam ya kupitia mpango wa Mji wa Dodoma ikiongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa Mheshimiwa Uledi Musa walipokutana na Naibu Meya wa Manispaa ya Jiji la Beinjing  Mheshimiwa Chen Gang kuzungumzia jinsi watakavyohamisha  ofisi za Manispaa kutoka jiji la Beijing kuhamia mji wa Tongzhou


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.