Friday, December 9, 2016

MAJALIWA AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA UHURU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika sherehe za miaka 55 ya uhuru kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu akisalimiana na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kuhudhuria sherehe za miaka 55 ya Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016.
Rais John Magufuli akiwapungia wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakati alipoingia kwenye uwanja huo kuongoza sherehe  za miaka 55 ya Uhuru Desemba 9, 2016.
 Rais John Magufuli akikagua gwaride katika sherehe za miaka 55 ya uhuru kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016.
Rais Joh Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kuongoza sherehe za miaka 55 ya Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016
 Makomando wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha  uwezo wao wa kukabiliana na adui bila kutumia silaha za moto katika  maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016.
 Makomando wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wakionyesha  uwezo wao wa kukabiliana na adui bila kutumia silaha za moto katika  maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.