Sunday, December 18, 2016

MAJALIWA AWAKUNA WAPINZANI KIKAO CHA MAJUMUISHO ZIARA YA ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majukmuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo  na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Lekule Laiza.
Wabunge wa Arusha wakifurahia hotuba ya majumuisho ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Desemba 27, 2016. Kutoka kushoto ni  Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Viti Maalum Amina Mollel na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (wapili kulia) na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli, Isaac Joseph (kulia) baada ya Waziri Mkuu kumaliza kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa huo, Desemba 18, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki   KalistiLazaro (wapili kulia) na  wabunge wa upinzani waliohudhuria katika mkuano wake wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.