Tuesday, December 6, 2016

ZIARA YA MAJALIWA KARATU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa maji wa kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016.  Mradi huo umejengwa na Shirika  la World Vison. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, risho Gambo.
Waziri Kassim Majaliwa  akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016. Mradi huo umejengwa na Shirika la World Vision.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa umwagiliaji wa kijiji cha Mbuga Nyekundu  wilayani Karatu uliojengwa na Shirika la World Vision Desemba 5, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyolimwa kwa  kumwagiliwa katika kijiji cha  Mbuga Nyekundu wilayani Karatu Desemba 5, 2016.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya maji Mwalimu Frida Shayo baada ya kuzindua mradi wa maji  katika kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Mradi huo umejengwa na Shirika la Worl Vision.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakijiji wa  Qangded wilayani  Karatu Desemba 5, 2016. Wananchi hao walizuia msafara wake wakitaka awasikilize.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.