Monday, December 5, 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA SERIKALI NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Karatu baada ya kuwasili kwenye shule ya sekondari ya Karatu kuzungumza na watumishi wa serikali na halmashauri  ya wilaya ya Karatu Desemba 5, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na  halmashauri ya wilaya ya Karatu kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika zira ya mkoa wa Arusha, Deemba 5, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha mrisho Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Lekule Laiza.

Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika ziara ya Mkoa wa Arusha Desemba 5, 2016.
Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemb 5, 2016.
 Waziri Mkuu,Kasim Majaliwa akizungumza na  watumishi wa serikali na  halmashauri ya wilaya ya Karatu kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika zira ya mkoa wa Arusha, Deemba 5, 2016.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.