Saturday, December 24, 2016

MAJALIWA AKAGUA ENEO LA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA ASKARI MAGEREZA KWENYE GEREZA LA UKONGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride lililoandaliwa  na Jeshi la Magereza  wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga  jijini Dar es salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza Desemba 24, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa  gwaride lililoandaliwa  na Jeshi la Magereza  wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga  jijini Dar es salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza Desemba 24, 2016.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi  Hamad Masauni akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokwenda kwenye Gereza la Ukonga kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari Magereza  Desemba 24, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya eneo la ujenzi wa nyumba za askari magereza katika gereza la   Ukonga jijini Dar es salaam Desemba 24, 2016.   Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na kushoto kwake ni Kaimu  Kamishina Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Ali  Malewa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Magereza baada ya kukagua maandalizi ya eneo zitakapojengwa nyumba za makazi za Askari magereza katika  gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Desemba 24, 2016.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.