Thursday, December 8, 2016

WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUSHEREHEKEA UHURU WA TANZANIA BARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akiongea na  Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa  wakati akikagua maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza  Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Jackson Lyaniva wakati akikagua maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016 (katikati) ni Mkurugenzi wa Idara ya Maadhimisho na Sherehe za kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Mazelengwa .
Bw. Hamad Hashim akiendelea na maanadlizi ya kusafisha zuria wakati wa  maandalizi ya maandhimisho ya miaka 55 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Desemba, 2016.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.