Tuesday, November 27, 2018

MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA BWANGA WILAYANI CHATOWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole  Bibi Jenifer Erasto  aliyelazwa katika wodi ya wazazi  kwenye  Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato wakati alipotembelea Kituo hicho na Kuweka Jiwe la Msingi la  Maradi wa Ukarabati wa Kituo, Novemba 27, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kukagua  na Kuzindua Ukarabati wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato, Novemba 27, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Ukarabati wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato, Novemba 27, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani  na wapili kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwikwabe Mwita Waitara. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi  Robert Gabriel na wapili kushoto ni  Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj  Said Kalidushi.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.