Tuesday, November 27, 2018

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA MAKTABA LA TAASISI YA MAENDELEO YA JAMII TENGERU ARUSHA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Jengo la Maktaba ya kisasa katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii cha Tengeru mkoani Arusha.kulia kwake ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Dkt.Bakari George na kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.John Jingu Novemba 27, 2018.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana naMkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Patrick Golwike wakati wa shughuli ya Uzinduzi wa Jengo la Maktaba la Chuo cha Tengeru Arusha Novemba 27, 2018.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama pamoja naKatibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.John Jingu wakizindua jiwe la msingi la Jengo la Maktaba ya Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru wakati wa uzinduzi huo.

Mkutubi wa Chuo cha Tengeru Bw.Joseph Athanas akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama  kuhusu eneo la mapokezi la Jengo la Maktaba ya chuo hicho mara baada ya uzinduzi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.John Jingu akizungumza na washiriki ikiwemo wanafunzi wa chuo cha Tengeru (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi huo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akihutubia kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakati wa ghafla ya uzinduzi wa Jengo jipya la Maktaba ya Taasisi ya Maendeleo ya Jamii ya Tengeru Arusha.
Bw. Nelgan Sigara ambaye ni rais wa Chuo cha Tengeru akimkabidhi zawadi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama kwa niaba ya wanafunzi wa chuo hicho wakati wa uzinduzi huo.


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro akizungumza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa uzinduzi huo

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro akizungumza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa uzinduzi huo

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro akiteta jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa uzinduzi wa Jengo la Maktaba ya Chuo cha Tengeru.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii cha Tengeru mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Maktaba ya chuo hicho Novemba 27, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.