Saturday, November 17, 2018

MAJALIWA AWASALIMIA WANANCHI WA KIJIJI CHA NYAMATULA WILAYANI NACHINGWEA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Nyamatula wilayani Nachingwea akiwa katika ziara ya kazi wilayani humo, Novemba 17, 2018.  
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Nachingwea wakati  alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea kwa ziara ya kazi wilayani humo, Novemba 17, 2018.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango.
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.