Thursday, November 8, 2018

MATUKIO BUNGENI LEO TAREHE 08.11.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Bunda Boniphace Mwita, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akifurahia jambo na Mbunge wa Mlalo Lushoto Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya Wabunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 8, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Azza Hilal, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 8, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.