Tuesday, November 27, 2018

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI WA GEITA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Geita  kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Novemba 27, 2018. Kulia ni Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita,  Mhandisi Robert Gabriel.

Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Geita wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Novemba 27, 2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.