Friday, November 16, 2018

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA VIONGOZI WA SHIRIKA LA CHIPOLE MISSION KUTOKA SONGEA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo kwa viongozi kutoka Shirika la Wabenedictin wa Mtakatifu Agnes Chipole kutoka Songea walipokutana Bungeni Novemba16, 2018.

Sister Yoela Luambano kutoka Shirika la Wabenedictin wa Mtakatifu Agnes Chipole kutoka Songea akizungumza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama walipomtembelea bungeni Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Watawa kutoka Shirika la Wabenedictin wa Mtakatifu Agnes Chipole kutoka Songea Novemba 16, 2018 Bungeni Dodoma.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.