Wednesday, November 14, 2018

BUNGENI LEO 14.11.2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 14, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto  (katikati) na Mbunge wa Mufindi Kaskazini, Mahmoud Mgimwa (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 14, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.