Monday, November 12, 2018

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKATIBU WAKUU WA OFISI YAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo kwa makatibu wakuu wa Ofisi yake walipokutana katika Ofisi yake Bungeni Dodoma Novemba 12, 2018, wa kwanza kulia ni Bw.Andrew Massawe anayeshughulikia Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, wa pili kulia ni Prof.Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) na wa tatu kutoka kulia ni Bi.Maimuna Tarishi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akifafanua jambo kwa makatibu wakuu wa Ofisi yake walipokutana Bungeni Doodma kujadili utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo, wa kwanza kulia ni Prof.Faustin Kamuzora anayeshughulikia Sera na Uratibu, katikati ni Bi.Maimuna Tarishi anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.