Tuesday, November 27, 2018

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI WA IMALABUPINA - ICHWANKIMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati alipowasili kwenye  eneo la Mradi wa Maji wa Imalabupina - Ichwankima kuweka jiwe la msingi la Mradi huo wilayani Chato, Novemba 27, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa Imalabupina - Ichwankima wilayani Chato Novemba 27, 2018. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandishi Robert Gabriel.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.