Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Saidi Kanimba kuhusu viatu vya ngozi vinavyotengenezwa katika Halmashuri ya wilaya Uyui mkoani Tabora katika Maonyesho ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji Mkoani Tabora yailyofanyika kwenye Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Novemba 21, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Viongozi wa dini baada ya kufungua Jukwaa la Biashra na Uwekezaji Mkoani Tabora kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa huo, Novemba 21, 2018. |
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.