Sunday, November 25, 2018

MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI, DKT. FESTUS LIMBU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokutana na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. Festus Limbu (watatu kulia)  na baadhi ya Watendaji wa Baraza hilo, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 24, 2018.  Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi,  wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Baraza, Suleiman Malela na kulia ni Mchumi wa Baraza, Erad Mushi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. Festus Limbu kabla ya mazungumzo  yao yaliyowashirikisha, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Mainuna Tarishi na Watendaji wa Baraza. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 24, 2018.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.