Friday, November 23, 2018

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MAAFISA AFYA NCHINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi funguo ya gari mshindi wa kwanza katika usafi Mkuu wa Wilaya ya Njiombe Ruth Msafiri, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Usafi wa Mazingira Shirika la Plan International Dodoma Rachel Stephen, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018, kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Mohammed Bakari, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalim.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa choo cha gharama nafuu na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akikagua mabanda, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma Novemba 23, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mshauri wa maji na usafi wa mazingira kutoka Shirika la Kiholanzi la SNV Saul Mwandosya, wakati akikagua mabanda, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma Novemba 23, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Maafisa Afya wa mikoa nchini, wakati alipofungua rasmi mkutano wa maafisa hao kwenye ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018. 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, akizungumza na Maafisa Afya wa mikoa nchini, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, jijini Dodoma Novemba 23, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.