Monday, November 26, 2018

MAJALIWA AZINDUA VIZA NA VIBALI VYA UKAAZI VYA KIELEKTRONIKI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Kamishina Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Nchini, Dkt. Anna Makalala wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam  Kuzindua  Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki , Novemba 26, 2018.  Katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Idara ya Uhamiaji wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam kuzindua Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektrtoniki,  Novemba 26, 2018.

Baadhi  ya Washiriki wa Uzinduzi wa  Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya uzinduzi huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam , Novemba 26, 2018.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akizungumza katika uzinduzi wa Viza na Vibali  vya Ukaazi vya Kielektroniki  kwenye Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam,  Novemba 26, 2018.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde akizungumza katika uzinduzi wa Viza na Vibali  vya Ukaazi vya Kielektroniki  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam,  Novemba 26, 2018. 

Kamishina Jenerali wa Idara ya Uhamiaji, Dkt. Anna Makalala akizungumza katika uzinduzi wa Viza na Vibali  vya Ukaazi vya Kielektroniki  kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa  cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam,  Novemba 26, 2018.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi, Hamamad Masauni akizungumza katika uzinduzi wa Viza na Vibali  vya Ukaazi vya Kielektroniki  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam,  Novemba 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua  Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua  Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizindua Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2018. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga,  kulia ni  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad  Masauni na wapili kulia ni Kamishina Jenerali wa Idara ya Uhamiaji, Dkt. Anna Makalala.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde baada ya Kuzindua Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki  kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  Nchini (TAKUKURU)  Kamishaina wa Polisi, Diwani Athumani baada ya Kuzindua Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu, Augustino Ramadhani baada ya Kuzindua Viza na Vibali vya Ukaazi vya Kielektroniki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2018. 


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.