Wednesday, November 28, 2018

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wanawake waliojifungua katika Hospitali ya Wilaya  ya Geita ya Nzera baada ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali hiyo, Novemba 27, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mbunge wa Geita Vijijini, Jioseph Msukuma  wakati alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Geita, Novemba 27, 2018.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Geita  ya Nzera, Novemba 27, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara .  Watatu kulia ni Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma  na  wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nzera wilayani Geita, Novemba 27, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.