Friday, November 9, 2018

BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA 9.11.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Shinichi Goto, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Shinichi Goto, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.