Thursday, November 15, 2018

BUNGENI LEO 15.11.2018


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi baada ya  Mbunge huyo kuapishwa, bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.


Spika wa Bunge, Job Ndugai (Kulia) akimwapisha Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018. 
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Iramba Magaharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha , Mbunge wa Simanjiro, James Millya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018. 


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.