Friday, November 23, 2018

WAZIRI MKUU AHUDHURIA MAHAFALI YA SAINT JOHN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu, Wizara wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa. James Mdoe, katika Mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Saint  John (SJUT) kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 23, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye Mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Saint  John (SJUT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 23, 2018.

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Saint  John (SJUT) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  katika Mahafali ya Tisa ya Chuo hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 23, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia Wahitimu, kwenye Mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Saint  John (SJUT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 23, 2018. 

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.