Saturday, November 17, 2018

MAJALIWA AWASILI NACHINGWEA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Lindi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, Novemba 17, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (wapili kushoto) wakiitazama ngoma ya Nsolopa iliyotubuizwa na Kikundi cha Mshikamano wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea mkoani Lindi, Novemba 17, 2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.