Wednesday, November 7, 2018

BUNGENI LEO TAREHE 07.11.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa baada ya kuzindua mkakati huo, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018, katikati ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018, kutoka kushoto ni Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa, Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wabunge na wananchi waliyohudhuria kwenye uzunduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wabunge na wananchi waliyohudhuria kwenye uzunduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.